![]() Kigezo:Country data Congo, Republic of ( details) Kigezo:Country data Cayman Islands ( details) Nchi huru Christianity by country Country Takwimu zifuatazo zimekokotolewa hasa Marekani: State Department's International Religious Freedom Report, the CIA World Factbook, Joshua Project, Open doors, Pew Forum and. Kanisa kuu la Bibi Yetu huko Ho Chi Minh City (zamani Saigon), Vietnam. Ukristo, katika madhehebu yake mojawapo, ni dini rasmi ya nchi 15: Argentina (Kanisa Katoliki), Bolivia (Kanisa Katoliki na Ukristo kwa jumla), Costa Rica (Kanisa Katoliki), Denmark ( Walutheri), El Salvador (Kanisa Katoliki), England ( Anglikana), Greece ( Waorthodoksi), Armenia( Kanisa la Kitume la Armenia), Georgia ( Waorthodoksi), Ethiopia ( Waorthodoksi wa Mashariki) Iceland ( Walutheri), Liechtenstein (Kanisa Katoliki), Malta (Kanisa Katoliki), Monaco (Kanisa Katoliki), Norway ( Walutheri), Vatican City (Kanisa Katoliki). ![]() Nchi inayoongoza kwa idadi ya Wakristo ni Marekani, ikifuatwa na Brazil na Mexico. Kati ya madhehebu yake, Kanisa Katoliki linaongoza kwa kuwa na waumini bilioni 1.3, likifuatwa na Uprotestanti (uliogawanyika sana), Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na wengineo. Katika robo ya kwanza karne ya 21 Ukristo ndio dini kubwa zaidi duniani, ukikadiriwa kuwa na waumini walau bilioni 2.4 kati ya watu bilioni 7.5 duniani, ambao ni sawa na 1/3.
0 Comments
Leave a Reply. |
AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. ArchivesCategories |